Sitemap - 2022 - Barua Ya Chahali

#PAMBAZUKO: Gazeti la BURE la kila wiki lipo hewani leo 26/12/22 na kila Jumatatu. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263 au kwa baruapepe pambazuko1@protonmail.com

Kifahamu kikosi cha Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania kinachohusika na ulinzi wa viongozi (PSU) - sehemu ya pili: takriban kila mtu anatamani kuwa bodigadi wa kiongozi, je unajiungaje?

Maoni yanakaribishwa: maboresho, mapungufu, na chochote kile kuhusu kijarida cha #BaruaYaChahali kwa mwaka 2023

Makala yangu katika gazeti la RAIA MWEMA toleo la leo Jumatano 21/12/22

Biden, Marekani na Viongozi wa Afrika waliohudhuria "US - Africa Summit 2022" wanapaswa kujisikia aibu kwa picha hii ambapo mwanamke pekee, Rais Samia, amewekwa mstari wa nyuma

#PAMBAZUKO: Gazeti la BURE la kila wiki lipo hewani leo 19/12/22 na kila Jumatatu. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263 au kwa baruapepe pambazuko1@protonmail.com

Kifahamu kikosi cha Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania kinachohusika na ulinzi wa viongozi (PSU)

Makala yangu katika gazeti la Raia Mwema toleo la jana Jumatano 14/12/22

Rais wa Sudan ya Kusini ajikojolea hadharani

Uchambuzi wa kiintelijensia: kauli za Mbowe kuhusu maridhiano na CCM, wanaomdhihaki kuwa 'amelamba asali'

#JinsiYaKuwaMtuBora: Sitiari ya vuta nikuvute kati mtu na zimwi

#PAMBAZUKO: Gazeti la BURE la kila wiki lipo hewani leo 12/12/22 na kila Jumatatu. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263 au kwa baruapepe pambazuko1@protonmail.com

Kozi ya Open Source Intelligence #OSINT kwa lugha ya Kiswahili: kusaka taarifa kwa kuidukua Google (Google hacking)

#JinsiYaKuwaMtuBora: kanuni 6 za kugeuza fedha kuwa fursa ya kuwa na furaha

Happy birthday Tanzania 🇹🇿 . Happy birthday Jasusi 🕵️

#JinsiYaKuwaMtuBora: Mti wa Wasiwasi (Worry Tree): moja ya mbinu zenye ufanisi mkubwa katika kukabiliana na wasiwasi

#Flashback 08/12/2019: fahamu kuhusu 'uhandisi jamii' (social engineering)

RAIA MWEMA: safu yangu ya 'Raia Mwema Ughaibuni' yarejea gazetini, makala ya kwanza imechapishwa jana, na makala mpya ni kila Jumatano

Picha: kiapo cha utiifu cha magaidi wa ISIS huko Msumbiji na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa kiongozi mpya wa kundi hilo kimataifa, Abu al-Hussein al-Husseini al-Qurashi

#JinsiYaKuwaMtuBora: dakika 10 tu za kutembea zinaweza 'kupunguza uzee wa mwili wako'

Taarifa muhimu kuhusu kozi ya Open Source Intelligence #OSINT (kwa lugha ya Kiswahili)

#Flashback: Deepfake - teknolojia ya kutengeneza video feki inayoharibu maisha ya watu wasio na hatia

#BaruaYaChahali Chatroom: Karibu tuongee

Utetezi wa Kigaila kwamba 'hakujua usaliti wa mkewe,' na wa Mnyika kuhusu Kigaila, unazidisha hisia kuwa 'ubunge wa akina Halima Mdee' ulikuwa na baraka za uongozi wa Chadema

#Teknolojia: sasa waweza kujitumia meseji mwenyewe kwenye Whatsapp

#JinsiYaKuwaMtuBora: vitu 7 vya kuanzisha siku yako 'kibabe'

Wakati kuna sintofahamu juu ya mustakabali wa Twita, hii hapa link ya kujiunga na mbadala wa mtandao huo wa kijamii

#PAMBAZUKO: Gazeti la BURE la kila wiki lipo hewani leo 28/11/22 na kila Jumatatu. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263 au kwa baruapepe pambazuko1@protonmail.com

#AdelPhilOnlineAcademy: Njia 11 za kusaidia kuboresha kumbukumbu yako

Kozi ya Open Source Intelligence #OSINT kwa Kiswahili: anwani feki za baruapepe; sura (DP) feki; burner phone; vivinjari (browsers) vya upelelezi wa OSINT

Ripoti ya ajali ya Precision: kulikuwa na haja kwa serikali kukurupuka na 'ripoti rasmi' inayoweza kujenga taswira inakwepa kuwajibika? That aside, je 'Shujaa Majaliwa' ni 'tango pori'? 🤔

Rai kwenu Chadema na ACT-Wazalendo: kama "mnavyowapigania Watanzania kuhusu Katiba mpya" mnapaswa pia kuwapigania kukomesha mgao wa maji, umeme

#PAMBAZUKO: Gazeti la BURE la kila wiki lipo hewani leo 21/11/22 na kila Jumatatu. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263 au kwa baruapepe pambazuko1@protonmail.com

Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu Dkt Bashiru kuwavaa wanaomsifia Mama Samia na kukerwa na kauli ya "(Mama) anaupiga mwingi"

AdelPhil Online Academy: Kozi ya Jinsi ya Kukabiliana na Uraibu wa Michezo ya Kubahatisha (Kamari/Kubeti/Mkeka/Bahati Nasibu)

Kozi ya BURE ya Open Source Intelligence #OSINT: "kuficha ushahidi" na kutengeneza utambulisho feki (Sock Puppets)

Exclusive: Jinsi Diwani Athumani anavyoikongoroa Idara ya Usalama wa Taifa...na kuweka mazingira magumu kwa mustakabali wa urais wa Mama Samia

Taarifa kuhusu kozi ya BURE ya Open Source Intelligence #OSINT kwa lugha ya Kiswahili

#PAMBAZUKO: Gazeti la BURE la kila wiki lipo hewani leo 14/11/22 na kila Jumatatu. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263 au kwa baruapepe pambazuko1@protonmail.com

"Nimekuwa 'Yesu Kristo' kwenye Twitter kwa miaka 14 - na shukrani kwa Elon Musk, sasa nimethibitishwa." 🤔

Uchambuzi wa kiintelijensia: kauli tete za Jenerali Muhoozi, mtoto wa Rais Museveni wa Uganda ni mzaha tu au ni ishara za mambo yajayo?

Kozi ya BURE ya Open Source Intelligence #OSINT kwa Kiswahili: Somo la nne na la tano

#PAMBAZUKO: Gazeti la BURE la kila wiki lipo hewani leo 07/11/22 na kila Jumatatu. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263 au kwa baruapepe pambazuko1@protonmail.com

Si unafiki kwa Chadema kufanya kikao cha siri na CCM hapo jana, hiyo ni 'realpolitik.' Unafiki ni Chadema kuidhihaki ACT-Wazalendo inapokaa kitako na CCM.

Jiunge na chat ya wanachama wa Barua Ya Chahali

Kozi ya Open Source Intelligence (OSINT) kwa Kiswahili imeanza rasmi. Hapa kuna somo la kwanza, la pili na la tatu.

#PAMBAZUKO: Gazeti la BURE la kila wiki lipo hewani leo 31/10/22 na kila Jumatatu. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263 au kwa baruapepe pambazuko1@protonmail.com

Twita imepata mmiliki mpya, tajiri namba moja duniani Elon Musk. Je hatua hii itakuathiri vipi wewe mtumiaji wa "Twita ya wa-Tanzania"?

Rostam Aziz aeleza jinsi wawekezaji uchwara wanavyoongeza umasikini Tanzania, ataja Wachina wanaouza simu mtaani, wamwaga mashine za kamari vijijini kula mapato ya wanavijiji

#PAMBAZUKO: Gazeti la BURE la kila wiki lipo hewani leo 25/10/22 na kila Jumatatu. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263 au kwa baruapepe pambazuko1@protonmail.com

Kozi ya BURE: "Open Source Intelligence (OSINT)" kwa Kiswahili. Ukimudu OSINT, unaweza kutafuta taarifa za mtu yeyote yule hasa mtandaoni

#UsalamaWaMtandaoni: Mbinu 51 za jinsi ya kujilinda mtandaoni

#SimuliziZaJasusi: Tofauti na dhana kuwa ushushushu ni kwa ajili ya idara za usalama pekee, mbinu za kishushushu - kwa mfano Open Source Intelligence (OSINT) - zipo kwa ajili ya matumizi ya mtu yeyote

#PAMBAZUKO: Gazeti la BURE la kila wiki lipo hewani leo 17/10/22 na kila Jumatatu. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263 au kwa baruapepe pambazuko1@protonmail.com

#SimuliziZaJasusi: Makala hii inajibu swali ninaloulizwa takriban kila siku "ninataka kujiunga na Idara ya Usalama wa Taifa, je nifanyeje?"

#SimuliziZaJasusi: Je TISS (Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania) ni ya ngapi kwenye 'kumi bora ya Idara za Usalama wa Taifa barani Afrika'?

#SimuliziZaJasusi: Swali linaloulizwa chinichini kwa miaka 23 tangu Nyerere atutoke - kifo chake kilikuwa mapenzi ya Mungu kweli au kulikuwa na mkono wa mtu/watu?

#PAMBAZUKO: Gazeti jipya la BURE la kila wiki lipo hewani leo 10/10/22 na kila Jumatatu. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263 au kwa baruapepe pambazuko1@protonmail.com

Back by popular demand: kitabu bora kabisa cha #SHUSHUSHU - "Afisa Usalama wa Taifa ni Mtu wa Aina Gani? Na Anafanya Nini?" Pata kopi yako leo.

Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu kuondolewa kwa Balozi Mulamula kwenye uwaziri wa Mambo ya Nje, tathmini kuhusu mawaziri 'wapya.'

#PAMBAZUKO: Gazeti jipya la BURE la kila wiki lipo hewani leo 03/10/22 na kila Jumatatu. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263 au kwa baruapepe pambazuko1@protonmail.com

#PAMBAZUKO: Gazeti jipya la BURE la kila wiki, ambalo limetimiza miezi mitatu tangu lianzishwe, lipo hewani leo na kila Jumatatu. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263

Dhamira nzuri ya Mama @SuluhuSamia kufanya mageuzi sekta ya usalama haiwezi kufanikiwa endapo uhuni huu wa Idara ya Usalama wa Taifa utaruhusiwa kuendelea

Dear Mama @SuluhuSamia kuna maafisa watatu wa Idara ya Usalama wa Taifa waliokuwemo kwenye msafara wako wa mazishi ya Malkia, wamebaki hapa UK kwa ajili ya "kazi maalum" ambayo hujaiidhinisha

#PAMBAZUKO: Gazeti jipya la BURE la kila wiki lipo hewani leo 19/09/22 na kila Jumatatu. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263 au kwa baruapepe pambazuko1@protonmail.com

#PAMBAZUKO: Gazeti jipya la BURE la kila wiki lipo hewani leo 12/09/22 na kila Jumatatu. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263 au kwa baruapepe pambazuko1@protonmail.com

#PAMBAZUKO: Gazeti jipya la BURE la kila wiki lipo hewani leo 05/09/22 na kila Jumatatu. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263 au kwa baruapepe pambazuko1@protonmail.com

#PAMBAZUKO: Gazeti jipya la BURE la kila wiki lipo hewani leo 29/08/22 na kila Jumatatu. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263 au kwa baruapepe pambazuko1@protonmail.com

#PAMBAZUKO: Gazeti jipya la BURE la kila wiki lipo hewani leo 22/08/22 na kila Jumatatu. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263 au kwa baruapepe pambazuko1@protonmail.com

Urais Kenya: Kunradhi kwa ubashiri wangu fyongo.

#PAMBAZUKO: Gazeti jipya la BURE la kila wiki lipo hewani leo na kila Jumatatu. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263 au kwa baruapepe pambazuko1@protonmail.com

#PAMBAZUKO: Gazeti jipya la BURE la kila wiki lipo hewani leo na kila Jumatatu. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263 au kwa baruapepe pambazuko1@protonmail.com

AUDIO: Uchambuzi mfupi kuhusu uchaguzi mkuu wa KENYA

#JinsiYaKuwaMtuBora: busara 5 muhimu (audio ya dakika 2)

Jinsi "pattern of life intelligence" ilivyowawezesha CIA kumuua bosi wa Al-Qaeda Ayman al-Zawahiri, na angalizo kwa "tunaoendelea kuwindwa na watesi wetu"

#PAMBAZUKO: Gazeti jipya la BURE la kila wiki lipo hewani leo na kila Jumatatu. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263 au kwa baruapepe pambazuko1@protonmail.com

Tathmini ya kiintelijensia: changamoto na fursa kwa hatua ya Rais @SuluhuSamia kuunda kamati na sekretarieti kuchunguza vyombo vya usalama

#PAMBAZUKO: Gazeti jipya la BURE la kila wiki lipo hewani leo na kila Jumatatu. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263 au kwa baruapepe pambazuko1@protonmail.com

Breaking News: Mama @SuluhuSamia ateua Camillus Wambura kuwa IGP mpya, Sirro ateuliwa kuwa Balozi Zimbabwe

#PAMBAZUKO: Gazeti jipya la BURE la kila wiki lipo hewani leo na kila Jumatatu. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263 au kwa baruapepe pambazuko1@protonmail.com

Gazeti jipya la kila Jumatatu la PAMBAZUKO. Tuma neno HABARI kwa WhatsApp 0744 768263 kutumiwa kopi ya bure

#SikuYaKiswahiliDuniani: vitabu 12 alivyochapisha mtumishi wako kwa lugha ya Kiswahili #WorldKiswahiliDay

#SikuYaKiswahili Duniani: kama ambavyo utajiri wetu wa raslimali - madini, wanyamapori, nk - haujaweza kututoa kimasomaso, ndivyo Watanzania tunavyofeli kunufaika na umahiri wetu katika Kiswahili

Picha ya wiki

Uchambuzi wa kijasusi: uteuzi wa Mkuu wa Majeshi na Mnadhimu Mkuu mpya - kwanini Luteni Jenerali Mkingule 'amerukwa' na kuishia kupewa ubalozi?

Barua ya Profesa Shivji kwa Rais Samia kuhusu Ngorongoro

#Tujikumbushe: serikali ya Magufuli yafuta kibali cha uwindaji cha kampuni ya kitaalii ya familia ya kifalme ya Imirati, rekodi zaonyesha CCM imepokea mamilioni ya dola kutoka familia hiyo ya kifalme

Mapendekezo: hatua za kutatua mgogoro wa ardhi "wa miaka nenda, miaka rudi" huko Loliondo

Dear Mama @SuluhuSamia, utu na busara itumike kumaliza mgogoro wa Ngorongoro

Ndugu zangu madaktari, msaada wenu unahitajika kwa mdau huyu mwenye miaka 63 ambaye amekuwa akiteswa na maradhi haya ya ajabu kwa zaidi ya miaka 40 sasa

Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu Jenerali Mabeyo: anastaafu au 'ameondolewa kidiplomasia'? Nani kumrithi? 'Mazuri' na 'mabaya' yake

Dear Fatma Karume, pole kwa kutukanwa na baadhi ya wana-Chadema. Hata hivyo, wewe na Maria "mmewalea" sana hawa watukanaji mtandaoni

Kila anayeipenda Simba kwa dhati sio tu anapaswa kumsapoti Mo (@moodewji) bali pia kumtetea kwa nguvu zote dhidi ya wazushi wenye ajenda zao binafsi

Uchaguzi TLS: Ushindi wa Prof Hosseah unaashiria kuporomoka kwa nguvu ya ushawishi wa Chadema, waliweza kumuingiza madarakani 2021 wameshindwa kumzuwia asirudi madarakani 2022

Former Liberian President Sirleaf on why President @SuluhuSamia of Tanzania is one of the 100 most influential people of 2022.

Siasa "zilivyopora" uchaguzi wa TLS ni kiashiria cha jinsi taaluma ya uanasheria inavyofeli katika utumishi kwa Watanzania hususan "wasio na vyama."

Mgogoro NCCR-Mageuzi: Kada wa Chadema Martin Maranja adai "mradi wa kumuondoa Mbatia ni wa Zitto na dola". Amtuhumu Naibu Msajili Nyahoza kuwa anakamilisha kazi ya Zitto. Amhusisha pia Evarist Chahali

Dear Mama @SuluhuSamia, mabalozi hawa wawili wanakuhujumu

Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu mkutano wa majadiliano kati ya Mama @SuluhuSamia na viongozi wakuu wa Chadema

Dkt Slaa aliyemlaumu Zitto kuongelea ufisadi uliotajwa kwenye ripoti ya CAG aumbuliwa na Kinana aliyesema Mama Samia awachukulie hatua waliotajwa kwenye ripoti hiyo.

#TanzaniaRoyalTour: tathmini ya kijasusi

Kinyago walichochonga wenyewe sasa kinawatisha: Chadema wahaha kumzuia Prof Hoseah asichaguliwe tena TLS japo Chadema haohao ndio waliomnadi kwa nguvu zote uchaguzi uliopita

Kozi ya #JinsiYaKuwaMtuBora: jifunze kupuuza watu wanaopora amani yako/vitu vinavyoiba furaha yako

Shutuma kuwa "nimebloku kila mtu" si za kweli: maelezo ya jinsi navyotumia kubloku kama "kinga yangu" dhidi ya watukanaji na "watu wanaohusiana na kitengo."

Breaking News: Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa ajiuzulu

DRC kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki: Tanzania isipowekeza kwenye diplomasia ya uchumi, itaishia kunufaika na 'vumbi la kongo' pekee.

Tathmini ya mwaka mmoja wa urais wa Rais Samia Suluhu: mafanikio na changamoto

Tathmini ya mwaka mmoja wa urais wa Rais Samia Suluhu: mafanikio na changamoto

[Reposted] Uchambuzi wa kiintelijensia: tathmini ya mwaka mmoja wa urais wa Mama @SuluhuSamia, na mustakabali wa uongozi wake kuelekea 2025

Sintofahamu kuhusu kipi kianze kati ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi yaendelea, Chadema wadai "Zitto ameafikiana nao kuanza na katiba badala ya tume huru", yeye ang'aka

Video: Mwanasheria msomi Peter Kibatala akieleza kwanini ni muhimu kupata tume huru ya uchaguzi kwanza kabla ya katiba mpya

Kozi ya #JinsiYaKuwaMtuBora: Jifunze "baraka za kufeli" kutoka kwa galacha wa Formula One Lewis Hamilton

Kozi ya #JinsiYaKuwaMtuBora: mkakati wa "ARC" - Accept (kubali), Reject (kataa), Change (badilisha).

Hakuna tatizo ACT-Wazalendo kuanza na kudai tume huru wala Chadema kuendelea na kudai katiba mpya, tatizo ni kwamba mchakato huo ukienda vema utawaathiri "wanufaika wa mifarakano ya kisiasa."

[Free Access] Machi 12 kama leo mwaka jana nilitangaza kifo cha JPM...siku 5 zilizofuata zilikuwa balaa kwangu - nilitukanwa, nilitishwa, nililaaniwa ...hadi serikali ilipothibitisha nilichotaarifu

Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu hotuba ya Mbowe kwa taifa aliyoitoa jana Machi 8, huko Iringa

Kozi ya #JinsiYaKuwaMtuBora: tenga wasaa wa kujipongeza

Matusi kama "silaha" ya Chadema: baada ya Kigogo sasa kuna "mrithi wake" Martin.

Ukimya wa Lissu Masaa 36 baada ya Mbowe na wenzake kuachiwa huru; mustakabali wa ajenda ya katiba mpya

[Free Access] Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu Mbowe kuachiwa huru, na tafsiri pana ya mwaliko aliopewa Ikulu kwa maongezi na Mama Samia

Hongereni viongozi wa dini kwa wito wenu kwa Mama @SuluhuSamia kuwa huruma itumike kumaliza kesi ya Mbowe, wanaowakosoa ni wanaonufaika na mwanasiasa huyo kuwa jela

Chapisho la Kitaaluma: "Mapambano ya Wamasai wa Ngorongoro" - Profesa Ambreena Manji (@AmbreenaManji)

Explainer: Vita kati ya Russia na Ukraine, kwa maneno machache lakini kwa kina kirefu, katika Kiswahili fasaha kabisa (haya ni maeneo ya kujidai ya jasusi wako ☺️)

Propaganda hizi za kitoto zina msaada gani kwa Mbowe?

Kozi ya #JinsiYaKuwaMtuBora: Vitu 10 vya kukumbuka pindi maisha "yanapopoteza maana"

Catch-22: Mama @SuluhuSamia akitumia utu kumaliza kesi ya Mbowe atasutwa kuwa 'dikteta kasalimu amri.' Asipoingilia kati, ataendelea kuitwa 'dikteta.' Bora Jaji Tiganga aachiwe jukumu hilo

Free Access: What's next baada ya Mahakama Kuu kusema Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu?

Uchambuzi wa Kiintelijensia Kuhusu Mkutano Baina ya Mama Samia na Tundu Lissu Nchini Ubelgiji Hapo Jana

Ombi Kwenu Waheshimiwa Nape, January Makamba na Ridhiwani : Kama Wahanga wa "Uanahabari wa Musiba" Huko Nyuma, Tupieni Jicho Jitihada za JAMVI LA HABARI Kuturejesha Zama za "Magazeti ya Chuki"

Kozi ya #JinsiYaKuwaMtuBora: "Attention Economy" - Tunaishi Zama Ambazo "Attention" Ina Thamani Kama Pesa. Njia Mbili Muhimu Za Ku-"Control Attention."

Kozi ya #JinsiYaKuwaMtuBora: Vitu 15 vya Kufanya "Kutuliza Akili."

Hongera CCM kwa Kutimiza Miaka 45: Haya ni Baadhi ya Mapungufu Yenu

Kwaheri Da Mwele: Nitaenzi Heshima Uliyonipa 2015 Kuwa Mmoja wa Washauri Wako Kwenye Dhamira Yako ya Kuwania Urais. Tanzania Imempoteza Mwanasayansi Mtafiti Mbobevu. Rest in Power, Dadangu 😭😭😭

Katiba Mpya Mnayopigia Kelele Hairuhusu Chuki Wala Ubaguzi: Kama Haikuwa Usultani kwa Mtoto wa Karume kuwa Rais Zanzibar, Kwanini Iwe Usultani kwa Mtoto wa Mwinyi Kuwania Unaibu Spika?

Hongera Mama @SuluhuSamia, Mwanamke wa Kwanza Kuwa Rais wa Tanzania, kwa Kuendelea na Teuzi za Kihistoria, Hongera Zuhura Yunus (@venusnyota), Mwanamke wa Kwanza Kuwa Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu

'Nabii' wa Zimbabwe, Aliyetabiri 'Hujuma Dhidi ya JPM', Afanya 'Utabiri' Mwingine Kuhusu Mustakabali wa Mama Samia. Uchambuzi: Ni Maono Kweli au Uzushi tu?

Uchambuzi wa Kiintelijensia: Jinsi Dkt Tulia Alivyopenya Mchujo wa Kuwania Uspika. Je Baada ya Kupata Uspika (na Hilo Halina Mjadala), Atakuwa 'Asset' au 'Liability' Kwa Utawala wa Mama Samia?

#JinsiYaKuwaMtuBora: Vitu Vinane Ambavyo Hujachelewa Kujifunza Maishani

#JinsiYaKuwaMtuBora: Majambazi 7 wa "Amani Yako" Unaopaswa Kuwatimua Haraka Sana

Kozi ya #JinsiYaKuwaMtuBora: Njia Nyepesi za "Kupunguza Kasi ya Maisha."

Kozi ya #JinsiYaKuwaMtuBora: Kanuni 10 za "Maisha Yasiyo na Msongo" (Stress-Free Life)

#JinsiYaKuwaMtuBora: Skills Saba za Kukusaidia Unachohitaji Katika Maisha Yako

Tujenge Utamaduni wa Kusapoti Taasisi za Kidemokrasia Bila Kujali Tofauti za Kiitikadi, na Unaweza Kuanza Leo Kwa Kuwachangia @ACTWazalendo katika Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu Wao

#BaruaYaChahali, Moja ya Vijarida Bora Kabisa Duniani Kwa Lugha ya Kiswahili, Kinatimiza Mwaka wa Tatu Tangu Kianzishwe Januari 15, 2019

Mchungaji Msigwa 'Aamuriwa' na Lema Kufuta Twiti Iliyoshauri Kuwa Chenge Ndio Anafaa Kuwa Spika, Aifuta, Kisha Airejesha 'Kiaina.'

Makonda "Kikaangoni" Baada ya Nape Kurudishiwa Uwaziri wa Habari na Ridhiwani Kuteuliwa Naibu Waziri

Uchambuzi wa Kiintelijensia Kuhusu Mabadiliko ya Baraza La Mawaziri Yaliyofanywa na Mama Samia Jana 08.01.22

Uchambuzi wa Kiintelijensia Kuhusu Kujiuzulu kwa Spika Ndugai, Mrithi Wake, Na Mustakabali wa CCM. Pia Dondoo Kuhusu Kabineti Mpya

#BreakingNews: Spika Ndugai Ajiuzulu

Dear Chadema, "Mpasuko wa CCM" Sio Uimara Wenu, Jitahidini Kuepuka Kudandia Matukio

Ujio wa Mama @SuluhuSamia 2.0: Kutoka Twiti ya Uzushi Iliyozua Taharuki Kuhusu Afya Yake Hadi Hotuba Iliyojaa Mamlaka Na Kukumbusha "Mimi Ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania."

Tamko la Lissu Kuwa Yeye na Lema Watarejea Tanzania Mwezi Machi Linamaanisha Masharti Aliyoipa Serikali Kuhusu Usalama Wake Yametimizwa?

Vitu Hivi 10 Vinaweza Kuufanya Mwaka Mpya 2022 Kuwa Wenye Mafanikio Kuliko Miaka Yote Maishani Mwako

VIDEO: Heri ya Mwaka Mpya 2022: Matukio Makubwa Matano Tanzania Mwaka Jana, na Watanzania 10 wa Mwaka 2021

Jinsi Ya Kuacha Sigara