#Flashback Desemba 8, 2019:
Fahamu Kuhusu Social Engineering
Moja ya matishio ya usalama wako mtandaoni ni pamoja na kitu kinachofahamika kama "social engineering," sanaa ya kuwafanya watu watoe taarifa zao muhimu ambazo zikishapatikana hutumika kuwahujumu.
Japo kuna aina mbalimbali za taarifa ambazo mdukuzi anazihitaji kwa mlengwa, mara nyingi katika soc…