Makala kutoka kwa mdau. Naomba niiwasilishe kama ilivyo. Tarehe 19/03/2021 ni siku ambayo aliapishwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama. Hatimaye Tanzania iliingia kwenye historia …