Whatsapp sasa inakuwezesha kujitumia meseji mwenyewe. Hata hivyo, pengine unaweza kujiuliza, “nijitumie meseji mwenyewe ili iweje?” Ukweli ni kwamba kuna nyakati nyingi tuna unaweza kuhitaji kujitumia meseji, hususan katika kuhifadhi taarifa. Kwa mfano, umekutana na mtu, anakupa namba yake ya simu lakini huna muda wa kuihifadhi hapohapo, basi unaweza ku…
© 2025 Evarist Chahali
Substack is the home for great culture