Kozi ya BURE ya Open Source Intelligence #OSINT kwa Kiswahili: Somo la nne na la tano
Masomo matatu yaliyopita ya kozi hii ya Open Source Intelligence (OSINT) kwa Kiswahili yalihusu
Utangulizi
Tahadhari
Malengo/matarajio ya kozi
Katika kuboresha kozi hii, baadhi ya mada zilizotajwa kwenye utangulizi zimeondolewa na badala yake kuwekwa mada ambazo mkufunzi anaamini ni relevant na useful zaidi.
Masomo ya wiki hii yanahusu
Mzunguko wa intelijensia (Intelligence cycle)
Mfumo wa OSINT (OSINT Framework)