Utangulizi: Novemba 19 mwaka huu, gazeti moja la Tanzania lilibeba kichwa yenye kichwa cha habari “Dkt Bashiri alipuka. Awavaa wanaosifu utawala wa Samia, Akerwa na kauli za ‘[Mama] anaupigwa mwingi.”
Swali ambalo limetawala mojadala mbalimbali kuhusiana na kauli hizo za Dkt Bashiru, ni hili, “amewapata wapi ujasiri huo?”
Uchambuzi huu wa kijasusi unajibu swali hilo pamoja na mengineyo, kwa mfano “mustakabali wa Dkt Bashiru ukoje baada ya kauli hizo?”


