Jinsi "pattern of life intelligence" ilivyowawezesha CIA kumuua bosi wa Al-Qaeda Ayman al-Zawahiri, na angalizo kwa "tunaoendelea kuwindwa na watesi wetu"
Moja ya maswali nayoulizwa mara kwa mara ni pamoja na hili, “jasusi, Mwendazake ameshaondoka, na watu wake wengi wameondolewa. Na sasa nchi ipo chini ya Mama Samia, je bado maisha yako yapo hatarini? Unaweza kurudi Tanzania?” Kabla ya kujibu swali hilo, nielezee kuhusu jinsi kiongozi wa kundi la kigaidi la al-Qaeda, Ayman al-Zawahiri, alivyouawa huko Afghanistan mwishoni mwa wiki iliyopita…
Read more
2 years ago · Evarist Chahali