ACT-Wazalendo wanafanya mkutano wake mkuu Januari 19, na ukipitia kwenye akaunti zao za mitandao ya kijamii, wamekuwa wakihamasisha wadau mbalimbali kuchangia mkutano huo.
Ni utaratibu mzuri, sio tu kwa sababu unakiwezesha chama hicho kupata fedha za kukamilisha shughuli hiyo muhimu lakini pia ni fursa kwa wadau mbalimbali wa demokrasia - kimsingi ni kil…


