Hongera CCM kwa Kutimiza Miaka 45: Haya ni Baadhi ya Mapungufu Yenu
Angalizo: Makala hii ilitumwa kwenye chombo kimoja cha habari lakini haikuchapishwa kwa sababu ambazo wahusika hawakuziweka wazi. Hata hivyo, natambua kuwa media nyingi za Tanzania “zinatukwepa” baadhi yetu ambao tuliwahi kutajwa huko nyuma kuwa ni “makuwadi wa mabeberu.” Enewei, hakuna haja ya kutumia majukwaa mengine ilhali jukwaa hili letu lipo.
Naom…