Barua Ya Chahali

Barua Ya Chahali

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
"Nimekuwa 'Yesu Kristo' kwenye Twitter kwa miaka 14 - na shukrani kwa Elon Musk, sasa nimethibitishwa." 🤔
Copy link
Facebook
Email
Notes
More
Simulizi za Jasusi

"Nimekuwa 'Yesu Kristo' kwenye Twitter kwa miaka 14 - na shukrani kwa Elon Musk, sasa nimethibitishwa." 🤔

Evarist Chahali's avatar
Evarist Chahali
Nov 13, 2022
∙ Paid

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
"Nimekuwa 'Yesu Kristo' kwenye Twitter kwa miaka 14 - na shukrani kwa Elon Musk, sasa nimethibitishwa." 🤔
Copy link
Facebook
Email
Notes
More
Share

Jasusi anafuatilia kwa karibu “yanayoendelea” huko Twita, kufuatia bilionea Elon Musk, mtu tajiri kuliko wote duniani, kuununua mtandao huo wa kijamii. Kama unahitaji kufahamu zaidi kuhusu ishu hiyo, pitia makala hii

Barua Ya Chahali
Twita imepata mmiliki mpya, tajiri namba moja duniani Elon Musk. Je hatua hii itakuathiri vipi wewe mtumiaji wa "Twita ya wa-Tanzania"?
Miongoni mwa habari kubwa zilizotawala wiki hii ni mtu tajiri kuliko wote, Elon Musk, kuwa mmiliki mpya wa mtandao wa kijamii wa Twita. Hatua hiyo imekuja baada ya sintofahamu iliyodumu miezi kadhaa. Makala hii ni maalum kwako mtumiaji wa “Twita ya Watanzania”. Kwa minajili ya makala hii “Twita ya Watanzania” inamaanisha Watanzania wanaotumia Twita popot…
Read more
3 years ago · Evarist Chahali

Au waweza pia kusoma chapisho hili la Jasusi kwenye gazeti bora kabisa la PAMBAZUKO

This post is for paid subscribers

Already a paid subscriber? Sign in
© 2025 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start writingGet the app
Substack is the home for great culture

Share

Copy link
Facebook
Email
Notes
More