Mapendekezo: hatua za kutatua mgogoro wa ardhi "wa miaka nenda, miaka rudi" huko Loliondo
Nimekutana na chapisho hili la kitambo linalozungumzia mgogoro wa miaka nenda rudi huko Loliondo, ambao majuzi umelipuka tena, huku taarifa zikieleza kuwa kuna upotevu wa maisha. Hebu nawe pitia chapisho hili, kisha tafakari - au endapo upo katika nafasi ya ushauri kwa serikali, jaribu kufikisha kwa wahusika.
Muhtasari
Kwa miaka sasa, kumekuwa na mgogogr…