Hatimaye jana mshindi wa urais wa Kenya alitangazwa. Hata hivyo kinyume na ubashiri wangu wa awali ambapo nilibashiri Raila Odinga angeshinda, aliyeibuka mshindi ni William Ruto.
Share
Katika audio hii nawasilisha samahani yangu ya dhati kwenu nyote kutokana na ubashiri wangu kuwa fyongo.