DRC kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki: Tanzania isipowekeza kwenye diplomasia ya uchumi, itaishia kunufaika na 'vumbi la kongo' pekee.
Kwa baadhi yetu ambao tunakosa usingizi kwa kuhofia kuhusu mustakabali wa Tanzania yetu, kuona watu wengi wapo bize na ‘ubuyu,’ ‘koneksheni’ na kubeti, huku mambo ya msingi yakipuuzwa, inaumiza kwa kweli.
Lakini pengine kinachoumiza zaidi ni ukweli kwamba wengi wa wanaopaswa kukosa usingizi sio tu kuhofia kuhusu mustakabali wa Tanzania yetu bali wana wa…