Taarifa muhimu kuhusu kozi ya Open Source Intelligence #OSINT (kwa lugha ya Kiswahili)
Samahani kwa kuchelewa kuwaletea masomo mapya. Hiyo imetokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa mkufunzi. Matarajio ni kwamba masomo mapya yatawajia Jumamosi ijayo.
Wakati mnasubiri masomo mapya, jikumbushe masomo haya yaliyotangulia
KOZI NYINGINE
TANGAZO