#UsalamaWaMtandaoni: Mbinu 51 za jinsi ya kujilinda mtandaoni
Nywila (passwords)
1 Epuka kutumia nywila ambayo ni rahisi kutabirika
2 Epuka nywila inayotokana na taarifa zako kwa mfano tarehe yako ya kuzaliwa
3 Tumia kundi la maneno angalau manne ambayo hayahusiani.
4 Tumia mchanganyiko wa herufi kubwa na ndogo za tarakimu maalum (mfano @$%) sio chini ya kumi
5 Tumia meneja wa nywila (password manager)
6 Tumia uthibitis…