Jiunge na chat ya wanachama wa Barua Ya Chahali
Fursa ya maongezi ya faragha na kufahamiana
Nina furaha kuwafahamisha kuanzishwa kwa kitu kipya: chat ya wanachama wa Barua Ya Chahali
Hii ni fursa ya maongezi baina ya mie jasusi/mtumishi wenu nanyi, na miongoni mwenu pia. Nitakuwa nikiweka mada tunazoweza kujadili lakini pia ninyi wadau mnaweza kushauri mada za kujadili.
Ili kujiunga na chat hii, itakulazimu upakue app ya Substack HAPA. Kadhalika…