Breaking News: Mama @SuluhuSamia ateua Camillus Wambura kuwa IGP mpya, Sirro ateuliwa kuwa Balozi Zimbabwe
Ikumbukwe tu kuwa Jasusi wako alikufahamisha kitambo kuwa ni suala la lini na sio endapo Sirro angeondoka kwenye u-IGP.

Swahili Times @swahilitimes
Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amesema Jeshi la Polisi pekee haliwezi kuzuia matukio ya ukatili yanayoendelea nchini, isipokuwa watu kuwa na maadili na hofu ya Mungu. https://t.co/KCCQLSMsUF