Vitu Hivi 10 Vinaweza Kuufanya Mwaka Mpya 2022 Kuwa Wenye Mafanikio Kuliko Miaka Yote Maishani Mwako
Heri ya Mwaka Mpya 2022. Naamini umeshawahi kusikia kitu kinachoitwa “New Year's Resolutions.” Kwa Kiswahili ni malengo ya mwaka mpya. Katika episode hii ya kwanza kwenye podcast ya Jasusi (unaweza kusikiliza episodes nyingine HAPA) nimekuorodheshea ideas 10 zinazoweza kuifanya 2022 kuwa mwaka bora zaidi kwako.