Matusi kama "silaha" ya Chadema: baada ya Kigogo sasa kuna "mrithi wake" Martin.
Baada ya Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Mheshimiwa Freeman Mbowe “kurejea uraiani” kufuatia kufutwa kwa kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi iliyokuwa ikimkabili yeye na wenzake watatu, kuna changamoto kadhaa zinazomkabili yeye binafsi na chama chake hasa kutokana na ombwe kubwa lililojitokeza alipokuwa jela.
Moja ya changamoto hizo ni kubadili mwelekeo wa …