Dear Chadema, "Mpasuko wa CCM" Sio Uimara Wenu, Jitahidini Kuepuka Kudandia Matukio
Pengine bandiko hili halitowapendeza wana-Chadema, na huenda baadhi yao wakakimbilia kwenye silaha yao muhimu ya matusi, lakini kuna mambo mawili ya kuzingatia hapa. Kwanza, sie wenye uwezo wa kuongea na jamii kupitia maandiko kama haya tunapaswa kutoandika kwa kuridhisha/kuudhi kundi flani.
Ukweli unapaswa kubaki kuwa ukweli. Na hauhitaji kuwa nguvu ku…