Aliyeiroga Tanzania yetu nae karogwa, kapata uchizi, kagongwa na kiberenge, kafariki. Na wanasema aliyekuroga akifariki, huponi.
Ni msemo ambao Jasusi amekuwa akiutumia mara nyingi huko Twita kuhusu masuala mbalimbali ambayo ni vigumu kuingia akilini.
Yaani serikali yenye watu wenye akili timamu imeiruka kimanga ripoti ya kitaalamu kuhusu ajali ya Precisi…


