Dear Mama @SuluhuSamia kuna maafisa watatu wa Idara ya Usalama wa Taifa waliokuwemo kwenye msafara wako wa mazishi ya Malkia, wamebaki hapa UK kwa ajili ya "kazi maalum" ambayo hujaiidhinisha
Mama Samia alipokuja hapa Uingereza kwa ajili ya mazishi ya Malkia Elizabeti wa Pili, Jasusi alitwiti