Barua Ya Chahali

Share this post

Dkt Slaa aliyemlaumu Zitto kuongelea ufisadi uliotajwa kwenye ripoti ya CAG aumbuliwa na Kinana aliyesema Mama Samia awachukulie hatua waliotajwa kwenye ripoti hiyo.

www.baruayachahali.com

Dkt Slaa aliyemlaumu Zitto kuongelea ufisadi uliotajwa kwenye ripoti ya CAG aumbuliwa na Kinana aliyesema Mama Samia awachukulie hatua waliotajwa kwenye ripoti hiyo.

Evarist Chahali
Apr 28, 2022
5
Share this post

Dkt Slaa aliyemlaumu Zitto kuongelea ufisadi uliotajwa kwenye ripoti ya CAG aumbuliwa na Kinana aliyesema Mama Samia awachukulie hatua waliotajwa kwenye ripoti hiyo.

www.baruayachahali.com

Hadi hivi karibuni, nilikuwa nikimchukulia Dokta Wilbrord Slaa, Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema na balozi wa zamani wa Tanzania nchini Sweden, kuwa mmoja ya Watanzania wazalendo kupita maelezo.

Read Barua Ya Chahali in the Substack app
Available for iOS and Android

Na nilikuwa na sababu za msingi za kumchukulia hivyo. Miaka kadhaa huko nyuma, yeye Dokta Slaa, Mheshimiwa Zitto Kabwe na Mheshimiwa Freeman Mbowe waliunda “timu…

This post is for paid subscribers

Already a paid subscriber? Sign in
Previous
Next
© 2023 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start WritingGet the app
Substack is the home for great writing