Hongereni viongozi wa dini kwa wito wenu kwa Mama @SuluhuSamia kuwa huruma itumike kumaliza kesi ya Mbowe, wanaowakosoa ni wanaonufaika na mwanasiasa huyo kuwa jela
Miongoni mwa mambo yaliyokera sana katika utawala uliopita ni kitendo cha viongozi wa dini sio tu kukalia kimya maovu mengi yaliyokuwa yakiendelea wakati huo bali pia kuushangilia utawala huo hata pale palipostahili kuukemea.
Fast forward takriban mwaka mmoja baadaye, jana viongozi wa dini walikutana na Mama Samia, na jambo moja muhimu katika mkutano huo…