Barua Ya Chahali

Barua Ya Chahali

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
Kifahamu kikosi cha Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania kinachohusika na ulinzi wa viongozi (PSU) - sehemu ya pili: takriban kila mtu anatamani kuwa bodigadi wa kiongozi, je unajiungaje?
Copy link
Facebook
Email
Notes
More
Simulizi za Jasusi

Kifahamu kikosi cha Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania kinachohusika na ulinzi wa viongozi (PSU) - sehemu ya pili: takriban kila mtu anatamani kuwa bodigadi wa kiongozi, je unajiungaje?

Evarist Chahali's avatar
Evarist Chahali
Dec 24, 2022
∙ Paid
6

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
Kifahamu kikosi cha Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania kinachohusika na ulinzi wa viongozi (PSU) - sehemu ya pili: takriban kila mtu anatamani kuwa bodigadi wa kiongozi, je unajiungaje?
Copy link
Facebook
Email
Notes
More
Share

Karibu katika sehemu hii ya pili na ya mwisho ya makala kuhusu kikosi cha Idara ya Usalama wa taifa kinachohusika na ulinzi wa viongozi. Kikosi hicho kinafahamika kama PSU ikiwa ni kifupi cha Presidential Security Unit, yaani kikosi cha ulinzi wa Rais.

Kwa minajili ya kuelewa vizuri makala hii, inashauriwa usome kwanza sehemu ya kwanza

Barua Ya Chahali
Kifahamu kikosi cha Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania kinachohusika na ulinzi wa viongozi (PSU)
Kitu cha kwanza kumfanya Jasusi atamani kuwa afisa wa Idara ya Usalama wa Taifa ni kusomewa kitabu kimoja cha James Bond. Kusomewa kwa sababu wakati huo Jasusi alikuwa mdogo tu, na alikuwa hafahamu lugha ya Kiingereza iliyotumuka kwenye kitabu hicho…
Read more
2 years ago · 2 likes · Evarist Chahali

Kama ilivyoahidiwa kwenye hitimisho la sehemu ya kwanza ya makala hii, sehemu hii ya pili inaangalia pamoja na mambo mengine jinsi gani hasa maafisa usalama wa taifa walio mafunzoni wanavyochujwa na kuingia kwenye kikosi hicho cha ulinzi.

Kadhalika, makala inajibu swali linaloulizwa mara kwa mara kuhusu uwezekano wa kujiunga na PSU au Idara ya Usalama wa Taifa kwa ujumla.

This post is for paid subscribers

Already a paid subscriber? Sign in
© 2025 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start writingGet the app
Substack is the home for great culture

Share

Copy link
Facebook
Email
Notes
More