Maoni yanakaribishwa: maboresho, mapungufu, na chochote kile kuhusu kijarida cha #BaruaYaChahali kwa mwaka 2023
Wakati tumebakiwa na siku 10 tu kabla ya kumaliza mwaka huu 2022 na kuingia mwaka mpya 2023, kijarida hiki cha Barua Ya Chahali kinamshukuru kila mmoja wenu aliyejiunga kuwa mwanachama (paid subscriber), aliyejiunga lakini si mwanachama (free subscriber), na hata mnaotembelea bila kujiunga. Asanteni sana.
Visheni ya kijarida hiki kwa mwaka ujao ni kuonge…