#SikuYaKiswahili Duniani: kama ambavyo utajiri wetu wa raslimali - madini, wanyamapori, nk - haujaweza kututoa kimasomaso, ndivyo Watanzania tunavyofeli kunufaika na umahiri wetu katika Kiswahili
Leo ni Siku ya Kiswahili Duniani. Na jana, katika kuelekea maadhimisho ya siku hii, nilitwiti