Wakati kuna sintofahamu juu ya mustakabali wa Twita, hii hapa link ya kujiunga na mbadala wa mtandao huo wa kijamii
Kama unafuatilia kinachoendelea kuhusu mustakabali wa Twita baada ya mtandao huo wa kijamii kupata mmiliki mpya - mtu tajiri kuliko wote duniani, bilionea Elon Musk - basi bila shaka utaelewa kwanini baadhi ya watumiaji wa Twita wameanza kuchukua tahadhari kwa kujiunga na mitandao mingine ya kijamii.
Kama huelewi kinachoendelea, kwa kifupi ni kwamba tan…