Barua Ya Chahali

Share this post
Tathmini ya mwaka mmoja wa urais wa Rais Samia Suluhu: mafanikio na changamoto
www.baruayachahali.com

Tathmini ya mwaka mmoja wa urais wa Rais Samia Suluhu: mafanikio na changamoto

Evarist Chahali
Mar 20, 2022
Share this post
Tathmini ya mwaka mmoja wa urais wa Rais Samia Suluhu: mafanikio na changamoto
www.baruayachahali.com

Katika kuadhimisha mwaka mmoja kamili wa urais wa Rais Samia Suluhu, jasusi amefanya tathmini ya kina kuangalia mafanikio na changamoto katika miezi hiyo 12, pamoja na “kubashiri” mustakabali wa uongozi wake kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Ili “kubashiri” mustakabali wa urais wake, tathmini inatoa majibu ya maswali kadhaa ikiwa ni pamoja na

  • Je utawala wa Rais Samia utafanikiwa kufika salama mwaka 2025 kwenye uchaguzi mkuu ujao?

  • Akifika hiyo 2025 atagombea urais?

  • Akigombea hiyo 2025 atashinda?

Pata kopi yako leo

This post is for paid subscribers

Already a paid subscriber? Sign in
Previous
Next
© 2023 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start WritingGet the app
Substack is the home for great writing