Video: Mwanasheria msomi Peter Kibatala akieleza kwanini ni muhimu kupata tume huru ya uchaguzi kwanza kabla ya katiba mpya
Kama tunaafikiana kuwa mwanasheria msomi Peter Kibatala ni mmoja ya Watanzania wachache kabisa waliobobea kwenye sheria, na kwa maoni yake anasema ni vema kupata kwanza tume huru uchaguzi kabla ya katiba mpya - mtazamo ambao pia unachukuliwa na ACT-Wazalendo - tunaweza kuafikiana bila shaka kuwa “tume huru kwanza.”
Create your profile
Only paid subscribers can comment on this post
Check your email
For your security, we need to re-authenticate you.
Click the link we sent to , or click here to sign in.