Barua Ya Chahali

Share this post

Taarifa kuhusu kozi ya BURE ya Open Source Intelligence #OSINT kwa lugha ya Kiswahili

www.baruayachahali.com
Simulizi za Jasusi

Taarifa kuhusu kozi ya BURE ya Open Source Intelligence #OSINT kwa lugha ya Kiswahili

Evarist Chahali
Nov 15, 2022
Share this post

Taarifa kuhusu kozi ya BURE ya Open Source Intelligence #OSINT kwa lugha ya Kiswahili

www.baruayachahali.com
Read Barua Ya Chahali in the Substack app
Available for iOS and Android

Masomo ya wiki hii katika kozi ya Open Source Intelligence #OSINT kwa lugha ya Kiswahili yatawajia Jumamosi badala ya leo. Hii ni kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa mkufunzi.

Unaweza kupitia somo la kwanza, pili na la tatu hapa

Barua Ya Chahali
Kozi ya Open Source Intelligence (OSINT) kwa Kiswahili imeanza rasmi. Hapa kuna somo la kwanza, la pili na la tatu.
Karibu katika kozi hii ya kipekee ya Open Source Intelligence kwa kifupi OSINT. Ya kipekee kwa sababu hii ni mara ya kwanza kabisa kwa kozi ya OSINT kufundishwa katika lugha ya Kiswahili. Open Source Intelligence ni intelijensia inayopatikana kwenye vyanzo vya wazi…
Read more
5 months ago · 7 likes · Evarist Chahali

Na somo la nne na la tano hapa

Barua Ya Chahali
Kozi ya BURE ya Open Source Intelligence #OSINT kwa Kiswahili: Somo la nne na la tano
Masomo matatu yaliyopita ya kozi hii ya Open Source Intelligence (OSINT) kwa Kiswahili yalihusu Utangulizi Tahadhari Malengo/matarajio ya kozi Katika kuboresha kozi hii, baadhi ya mada zilizotajwa kwenye utangulizi zimeondolewa na badala yake kuwekwa mada ambazo mkufunzi anaamini ni relevant na useful zaidi…
Read more
4 months ago · 2 likes · Evarist Chahali

Share

TANGAZO

This post is for paid subscribers

Already a paid subscriber? Sign in
Previous
Next
© 2023 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start WritingGet the app
Substack is the home for great writing