#SimuliziZaJasusi: Tofauti na dhana kuwa ushushushu ni kwa ajili ya idara za usalama pekee, mbinu za kishushushu - kwa mfano Open Source Intelligence (OSINT) - zipo kwa ajili ya matumizi ya mtu yeyote
Endapo hufahamu maana yake, USHUSHUSHU ni uafisa usalama wa taifa. Na SHUSHUSHU ni mtu anayefanya kazi hiyo. Wingi wa neno hilo ni MASHUSHUSHU.