#JinsiYaKuwaMtuBora: kanuni 6 za kugeuza fedha kuwa fursa ya kuwa na furaha
Kwanza niwashukuru nyote mlionikumbuka kwa salamu za heri ya siku ya kuzaliwa hapo jana. Ni nyakati muhimu kama hizi ndio tunafahamu watu wanaotuthamini.
Kwangu, birthday ni zaidi ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa. Kwa miaka kadhaa nimekuwa miongoni mwa Watanzania wachache wanaotakiwa kuwa marehemu. Kwahiyo, ninapotimiza mwaka mwingine ni sawa na ushind…