Kozi ya #JinsiYaKuwaMtuBora: Njia Nyepesi za "Kupunguza Kasi ya Maisha."
Mchakamchaka wa maisha hatuishi mpaka tunaingia kaburini. Lakini mchakamchaka huo usipodhibitiwa, unaweza kukuingiza kaburini kabla ya muda wako. Naam, msongo wa mawazo (na hali nyingine zinazotokana na Mwili na/au ajili kuelemewa) unaweza kupelekea mauti.
Somo hili fupi linakupatia mbinu kadhaa za kupunguza “kasi ya maisha,” na hapohapo kukusanya nguvu…