Makala hii ni moja ya kadhaa ambazo Jasusi aliwahi kuchapisha huko nyuma zikihusiana na teknolojia, na ameonelea ni vema akiziweka hapa kama #flashback
Juni 19, 2019: Unakumbuka "Video Ya Gwajima"? Ilikuwa Halisi Au Feki? Jibu Analijua Mwenyewe Lakini Video Hiyo Ni Mahala Mwafaka Kwa Mie Mtumishi Wako Kukufahamisha Kuhusu Kitu Kiitwacho DEEPFAKE
Naamini w…


