#JinsiYaKuwaMtuBora: vitu 7 vya kuanzisha siku yako 'kibabe'
Kuna busara moja kwamba jinsi unavyoanzisha siku yako ndivyo itavyokuwa siku nzima, na huenda ikasha ikiwa hivyo. Maana yake ni kwamba ukianza siku vibaya, kuna uwezekano mkubwa siku nzima nayo ikawa mbaya na pengine ikaisha vibaya pia.
Hata hivyo, inaelezwa kuwa kuna vitu kadhaa unavyoweza kufanya unapoanzisha siku yako, ambavyo vinaweza kuisaidia ikaen…