Desemba 9 ni maadhimisho ya siku yangu ya kuzaliwa, siku ambayo pia ni birthday ya Tanganyika. Mara nyingi huwa naadimisha siku yangu ya kuzaliwa kwa k…
HATIMAYE Paulo Christian Makonda, ameburuzwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kinondoni, jijini Dar es Salaam, kujibu mashitaka ya jinai yanayomkabili.…
Kwa mujibu wa kada mmoja wa Chadema huko Jamii Forums, jana ni mwaka kamili tangu Halima Mdee na wenzake 18 watangazwe na kuapishwa na Spika kuwa wabun…
This sets a bad precedence. Katibu Mwenezi wa CCM anapoweza kutengua amri halali ya kisheria ya jeshi la polisi, ni hatari. CCM yapiga ‘stop’ agizo la …
MAKALA YA RAIA MWEMA Evarist Chahali Nianze makala hii kwa kuwataka radhi wasomaji kutokana na kuadimika kidogo. Hali hiyo ilisababishwa na sababu zili…
Jana nilikumbana na bandiko flani huko Jamii Forums ambalo nilipelekea niwasiliane na ma-admin wa jukwaa hili la kijamii kuwasihi wachukue hatua stahil…
Kwanza kabla sijaingia kwenye mada husika, naomba nirudie tena msimamo wangu kuwa bado ninamuunga mkono Mama Samia Suluhu. Na japo silazimiki kusema kw…
Kwa vile sie wengine hata tukikaa kimya twaitwa wachochezi, basi ni vema niache ushahidi huu mbalimbali uonyeshe jinsi gani Waziri Mkuu Kassim Majaliwa…
Ninapenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa mchango wa Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Mheshimiwa Zitto Kabwe, kwa maoni yake kufuatia bandik…
Kwamba Tanesco inahujumiwa sio suala linalohitaji mjadala. Labda tunachoweza kujadili - na sio hapa - ni upana/ukubwa wa hujuma husika. Kujadili upana …
Kuna jamaa yangu mmoja alinitumia ujumbe majuzi kunipongeza kuwa napaswa nijivunie jitihada zangu kwenye sekta ya intelijensia hususan kutupia jicho ha…