Barua Ya Chahali

Barua Ya Chahali

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
Askofu Gwajima vs Mama Samia, Je Nini Kinafuata? - Ubashiri wa Kiintelijensia (Intelligence Outlook)
Copy link
Facebook
Email
Notes
More

Askofu Gwajima vs Mama Samia, Je Nini Kinafuata? - Ubashiri wa Kiintelijensia (Intelligence Outlook)

Evarist Chahali's avatar
Evarist Chahali
Jun 02, 2025
∙ Paid
1

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
Askofu Gwajima vs Mama Samia, Je Nini Kinafuata? - Ubashiri wa Kiintelijensia (Intelligence Outlook)
Copy link
Facebook
Email
Notes
More
Share

Hakuna haja ya kuuma maneno katika yanayoendelea huko CCM. Kwa sababu ni wazi kwamba baada ya Rais Samia Suluhu kujibu press conference ya Askofu Gwajima aliyoifanya Mei 24 mwaka huu ambapo aliinyooshea kidole serikali ya Rais Samia kuhusu janga la utekaji, ilitarajiwa aidha Askofu Gwajima “aogope” na kutojibu, au ajibu na iwe “vita kamili”. Kila aliyesikiliza hotuba ya Askofu Gwajima jana anafahamu kilichojiri.

Uchambuzi huu unajikita kwenye eneo moja kuu, nalo ni ubashiri wa kiintelijensia kuhusu yajayo mbeleni. Jasusi alibashiri kwa usahihi kwamba Askofu Gwajima sio tu angemjibu Rais Samia bali pia “angetembelea” jina jipya la Gwajimanization, na ndivyo ilivyotokea.

📌Je Askofu Gwajima atadumu ndani ya CCM au atafukuzwa?

📌Je akidumu, ataendelea na ukosoaji au atanyamazishwa?

📌Je akifukuzwa, atapunguza kasi au ndio itakuwa “balaa” zaidi?

📌Je Watu Wasiojulikana wanaweza “kumpitia”?

📌Je yupo peke yake au kuna watu nyuma yake?

Ubashiri wa Kiintelijensia (Intelligence Outlook) Kuhusu Yajayo

Mara kwa mara Jasusi amekuwa akieleza kuwa ni wajibu wa kiintelijensia kubashiri yajayo kabla hayajatokea. Na ni kwa muktadha huo, uchambuzi huo unajikita kwenye jukumu hapa chini.

📌Je Askofu Gwajima atadumu ndani ya CCM au atafukuzwa?

This post is for paid subscribers

Already a paid subscriber? Sign in
© 2025 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start writingGet the app
Substack is the home for great culture

Share

Copy link
Facebook
Email
Notes
More