Barua Ya Chahali

Barua Ya Chahali

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
Mama Samia vs Askofu Gwajima: Uchambuzi wa Kiintelijensia Kuhusu Mtifuano Mkubwa wa Kisiasa Ndani ya CCM
Copy link
Facebook
Email
Notes
More

Mama Samia vs Askofu Gwajima: Uchambuzi wa Kiintelijensia Kuhusu Mtifuano Mkubwa wa Kisiasa Ndani ya CCM

Evarist Chahali's avatar
Evarist Chahali
May 31, 2025
∙ Paid
2

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
Mama Samia vs Askofu Gwajima: Uchambuzi wa Kiintelijensia Kuhusu Mtifuano Mkubwa wa Kisiasa Ndani ya CCM
Copy link
Facebook
Email
Notes
More
Share

Mnamo Mei 30, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan alizungumza waziwazi na kauli yake ilionekana kumlenga Askofu Josephat Gwajima moja kwa moja. Hii ilitokea baada ya Gwajima, ambaye ni Mbunge wa CCM na pia mjumbe muhimu wa chama, kusema hadharani akilalamikia matukio ya utekaji nyara wa watu wasiojulikana, akihusisha vyombo vya serikali.

Kauli ya Rais Samia imeleta mjadala mkubwa. Uchambuzi huu w kiintelijensia unatoa tafsiri pana ya sakata hili, kwa nini Rais alisema vile, na pamoja na mambo mengine, nini matokeo yake kwa usalama na kwa maisha ya Gwajima ndani ya CCM.

Kauli ya Rais Samia: Maana Yake Rahisi

Maneno Muhimu ya Rais Samia

Kwenye hotuba yake, Rais Samia alisema maneno haya:

  • "Anayefaa aambiwe anafaa, asiyefaa tuseme huyu ana kasoro moja, mbili, tatu. Hatufai kwa huko mbele tunako kwenda."

  • "Tukitoa mwanya ndugu zangu tukipitisha wanaotafuta tu na mie niwemo. Ndio tunapata wale wanaokwenda huko. Chama kinakuwa 'Gwajima-nised'."

  • "Kwa hiyo kwa vyovyote vile, tusi-'Gwajima-nise' hiki chama chetu. 'Magwajima' tuyaache nje. Hamna kuoneana aibu wala haya."

  • "Wajua kule Zanzibar kuna mtu aliomba mcheza ngoma si yake lazima ataharibu. Akasema hawi sawa na wenzake. Yeye anakuwa 'Majudhubu'. 'Majudhubu' ni mtu ambaye hazimo hazimo hivi. Kwa hiyo ukicheza ngoma si yako utaharibu na utajulikana tu. Lazima utasema mie siye jamani ndo haya yanayotokea."

Maana Yake Halisi

This post is for paid subscribers

Already a paid subscriber? Sign in
© 2025 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start writingGet the app
Substack is the home for great culture

Share

Copy link
Facebook
Email
Notes
More