Leo saa 12 jioni kwa muda wa Afrika Mashariki, Jasusi ataendesha darasa la mubashara (live) kupitia app ya Substack.
Kama hujaipakua, fanya hivyo hapa chini
Unaweza pia ku-scan hapa chini
Ukishaingia kwenye app utaona taarifa kuhusu kozi. Pia angalia inbox kwenye email yako, utakutana na mwaliko.
Karibuni sana!