Sophia Mjema: Baada ya kupata mwanamke wa kwanza kuwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama chao - Mama @SuluhuSamia huyo - CCM waandika historia nyingine kuwa na Mwenezi wa kwanza wa kike
Wanasema 'historia huandikwa wakati watu wanaangalia kwingineko': Hongera Mh @Nnauye_Nape kwa kuiingiza Tanzania katika mfumo wa kimataifa wa anuani za makazi (postcode). Faida ni kubwa kuliko gharama
#PAMBAZUKO: Gazeti la BURE la kila wiki lipo hewani leo 16/01/23 na kila Jumatatu. Kutumiwa nakala yako tuma neno HABARI kwa Whatsapp +255 744 768 263 au kwa baruapepe pambazuko1@protonmail.com