Tanzania Yaingia Mkataba Mpya wa Dola Milioni 3 (Takriban Sh BILIONI NANE) Kujisafisha Marekani
Serikali ya Tanzania imeingia mkataba mpya wenye thamani ya dola za Marekani milioni tatu (takribani shilingi bilioni 7.8) na kampuni ya lobbying yenye makao yake Washington DC, BGR Government Affairs, kwa lengo la kuimarisha uhusiano wake na Marekani katika kipindi ambacho inakabiliwa na changamoto kubwa za kidiplomasia na kisiasa.
Taarifa kuhusu mkatab…


