Barua Ya Chahali

Barua Ya Chahali

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
Sehemu ya 19/ya mwisho wa makala zilioanza 29/01/23 za "UJASUSI (espionage) ni nini? Na MAJASUSI (spies) wanafanya kazi gani hasa?" - Mashirika maarufu ya ujasusi duniani na majasusi maarufu duniani
Copy link
Facebook
Email
Notes
More
Simulizi za Jasusi

Sehemu ya 19/ya mwisho wa makala zilioanza 29/01/23 za "UJASUSI (espionage) ni nini? Na MAJASUSI (spies) wanafanya kazi gani hasa?" - Mashirika maarufu ya ujasusi duniani na majasusi maarufu duniani

Evarist Chahali's avatar
Evarist Chahali
Sep 02, 2023
∙ Paid

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
Sehemu ya 19/ya mwisho wa makala zilioanza 29/01/23 za "UJASUSI (espionage) ni nini? Na MAJASUSI (spies) wanafanya kazi gani hasa?" - Mashirika maarufu ya ujasusi duniani na majasusi maarufu duniani
Copy link
Facebook
Email
Notes
More
1
Share

Hii ni makala ya kumi na tisa, na ya mwisho, katika mlolongo wa makala kuhusu UJASUSI. Makala hizi zitachapishwa kuwa kitabu kinachotarajiwa kuanza kupatikana hivi karibuni

Hamasa ya kuandika makala hizi imetokana na mafanikio makubwa ya kitabu cha “Afisa Usalama wa Taifa ni Mtu Gani? Na Anafanya Nini?” ambacho kilitokana na mfululizo wa makala kama huu.

Makala/Sehemu ya kwanza ilihusu maana ya neno UJASUSI. Ni vema ukasoma sehemu zilizotangulia.

Soma makala ya kwanza hapa

Makala ya pili ilihusu historia ya ujasusi

Soma makala ya pili hapa

Makala ya tatu ilihusu aina za ujasusi

Soma makala ya tatu hapa

Makala ya nne ilimalizia kilichosalia katika sehemu ya tatu kuhusu aina za ujasusi.

Soma makala ya nne hapa

Makala ya tano ilihusu ujasusi kama nyenzo ya kidiplomasia

Soma makala ya tano hapa

Makala ya sita ilihusu ujasusi wa kidiplomasia

Soma makala ya sita hapa

Makala ya saba ilihusu kifuniko (cover) cha jasusi

Soma makala ya saba hapa

Makala ya nane ilihusu tofauti kati ya ujasusi na uafisa usalama wa taifa

Soma makala ya nane hapa

Makala ya tisa ilihusu jinsi majasusi wanavyopatikana

Soma makala ya tisa hapa

Makala ya kumi ilihusu jinsi jasusi anavyopata watoa habari nje ya nchi na kujipenyeza eneo kusudiwa.

Soma makala ya kumi hapa

Makala ya kumi na moja ilieleza kuhusu majasusi wakiwa kazini

Soma makala ya kumi na moja hapa

Makala ya kumi na mbili ilihitimisha kuhusu majasusi wanavyokuwa kazini huku wakiwa na “roho mkononi”

Soma makala ya kumi na mbili hapa

Makala ya kumi na tatu ilikuwa sehemu ya kwanza kuhusu ufuatiliaji (surveillance)

Soma sehemu ya kumi na tatu hapa

Makala ya kumi na nne ilikuwa sehemu ya pili kuhusu ufuatiliaji (surveillance)

Soma sehemu ya kumi na nne hapa

Makala ya kumi na tano ilihusu ngono kama nyenzo ya ujasusi

Soma sehemu ya kumi na tano hapa

Makala ya kumi na sita ilihusu maneno/lugha ya kijasusi

Soma sehemu ya kumi na sita hapa

Makala ya kumi na saba ilihusu changamoto zinazoukabili ujasusi/majasusi duniani

Soma sehemu ya kumi na saba hapa

Makala ya kumi na nane ilihusu changamoto zinazoukabili ujasusi/majasusi Tanzania

Soma sehemu ya kumi na nane hapa

Hata hivyo, kabla ya kuingia kwa undani, ni vema kujikumbusha kuwa mpangilio wa mada zinazounda mfululizo wa makala hizi, ambao ni kama ifuatavyo:

👉Maana ya ujasusi

👉 Historia ya Ujasusi

👉 Aina za Ujasusi

👉 Ujasusi wa kimtandao

👉Ujasusi kama nyenzo ya diplomasia

👉Ujasusi wa kidiplomasia

👉Kifuniko (cover) cha Jasusi

👉 Tofauti kati ya Ujasusi na Uafisa Usalama wa Taifa

👉 Majasusi wanapatikanaje?

👉Jinsi jasusi anavyopata watoa habari nje ya nchi na kujipenyeza eneo kusudiwa.

👉 Majasusi kazini

👉 Changamoto zinazoukabili ujasusi/majasusi duniani

👉 Changamoto za ujasusi/majasusi Tanzania

👉 Mashirika maarufu ya ujasusi duniani na majasusi maarufu duniani.

Kumi bora ya mashirika ya ujasusi duniani?

Miongoni mwa maswali anayoulizwa sana mwandishi wa mfululizo wa makala hizi, ambaye aliwahi kuwa Afisa wa Idara ya Usalama wa Taifa ya Tanzania (TISS), pamoja na hili: Idara ya Usalama wa Taifa ya nchi gani ni bora kuliko zote?

This post is for subscribers in the Founding Member plan

Already in the Founding Member plan? Sign in
© 2025 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start writingGet the app
Substack is the home for great culture

Share

Copy link
Facebook
Email
Notes
More