Marekani, Septemba 26, 2025 – Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Upelelezi wa Marekani (FBI), James Comey, amejipata katika mzozo mkubwa wa kisheria baada ya kufunguliwa mashtaka mawili mazito ya kutoa taarifa za uongo na kuzuia haki kutendeka.
James Comey: Aliyekuwa Mkurugenzi wa FBI…