James Comey: Aliyekuwa Mkurugenzi wa FBI Ashtakiwa na Serikali ya Trump
Marekani, Septemba 26, 2025 – Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Upelelezi wa Marekani (FBI), James Comey, amejipata katika mzozo mkubwa wa kisheria baada ya kufunguliwa mashtaka mawili mazito ya kutoa taarifa za uongo na kuzuia haki kutendeka.
Comey, ambaye aliongoza FBI kati ya mwaka 2013 hadi 2017, amekana makosa hayo na kusisitiza hana hatia. Akizung…


