Ubalozi Wa Marekani Wasema Hospitali Dar Zim…

Naomba kutafsiri sehemu ya taarifa husika. Serikali ya Tanzania haijatoa taarifa zozote kuhusu UVIKO-19 (Ugonjwa wa Virusi vya Korona vya mwaka 2019) tangu Aprili 29 mwaka huu, kwahiyo hakuna takwimu zilizopo kuhusu idadi ya wenye maambukizo ya ugonjwa huo.

Read →