Selasini Amnanga Msigwa, Akemea "Kunyamazish…

I thought I should share this with you guys! Twiti ifuatayo ni jibu la Mheshimiwa Joseph Selasini kwa mbunge mwenzake wa Chadema, Mheshimiwa Peter Msigwa Twiti ya Mheshimiwa Msigwa ni hii Kwa vile Chadema ni chama cha demokrasia na maendeleo basi huenda hata tukio hili ni sehemu tu ya demokrasia yenyewe. Au huenda ni zaidi ya hilo.

Read →