Selasini Amnanga Msigwa, Akemea "Kunyamazishana"

I thought I should share this with you guys!

Twiti ifuatayo ni jibu la Mheshimiwa Joseph Selasini kwa mbunge mwenzake wa Chadema, Mheshimiwa Peter Msigwa

Twiti ya Mheshimiwa Msigwa ni hii

Kwa vile Chadema ni chama cha demokrasia na maendeleo basi huenda hata tukio hili ni sehemu tu ya demokrasia yenyewe. Au huenda ni zaidi ya hilo.

What do you think? Niandikie HAPA

Otherwise, ofa hii ya kufungia mwaka bado inaendelea

Ndimi mtumishi wako,

Evarist Chahali

NB: Endapo emails hizi kutoka kwangu zinakuzingua, waweza kujiondoa kwa KUBONYEZA HAPA.