Makala hii exclusive inaeleza kuhusu mpango kabambe unaoendelea kuhakikisha Mwenyekiti mpya wa Chadema, Mheshimiwa Tundu Lissu hafanikiwa kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
S03 E01: Mkakati Mkubwa Kumkwamisha Lissu…