Barua Ya Chahali
Chahali Podcast
S03 E01: Mkakati Mkubwa Kumkwamisha Lissu Kuwania Urais Katika Uchaguzi Mkuu 2025
0:00
-9:59

S03 E01: Mkakati Mkubwa Kumkwamisha Lissu Kuwania Urais Katika Uchaguzi Mkuu 2025

Makala hii exclusive inaeleza kuhusu mpango kabambe unaoendelea kuhakikisha Mwenyekiti mpya wa Chadema, Mheshimiwa Tundu Lissu hafanikiwa kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Awali Mheshimiwa Lissu alishatangaza nia ya kuwania urais, japo hajatamka tena baada ya kushinda uenyekiti wa taifa wa chama hicho kikuu cha upinzani.

Otherwise, albamu ya #Jasusi iitwayo #JasusiTheAlbum Volume One sasa inapatikana Spotify, Apple Music, Amazon Music, YouTube Music, TikTok, Instagram, Facebook, Snapchat,nk. Kwa maelezo zaidi, tembelea https://jasusi.com Pia, usisubiri hadi utekwe na #WatuWasiojulikana ndio ukumbuke kwamba Jasusi aliandika kitabu maalum cha Mwongozo wa Hatua za Kuchukua Pindi Ukibaini Kuwa Maisha Yako Yapo Hatarini (au hatua za tahadhari hata kama maisha yako hayapo hatarini). Pata kopi yako hapa https://jasusi.com/mwongozo

Discussion about this episode

User's avatar